System Logo

English

Karibu OKOA!

Tunakusaidia Kujua Sehemu Sahihi Kwa Ajili Ya Huduma Ya Afya.

Okoa inajua hali ya dawa na foleni katika Vituo vyote vya Afya Vya Umma Manispaa ya Kigoma Ujiji, Unataka Kujua Uende Wapi Utakapopata Huduma Muda Huu Ili Uwe Na Uhakika Wa Kupata Dawa?

Unataka Kujua Dawa Fulani Inapatikana Vituo Gani?

Unaweza Ukawa Umeshakwenda Kwenye Kituo Cha Afya Ukaambiwa Imekwisha Hivyo Unataka Kujua Iko Wapi Au Unataka Kwenda Ukiwa Umeshajua Kama Kwenye Kituo Husika Ipo Mfano Unaumwa Magonjwa Maalumu Kama TB,HIV nk Ambapo Unajua Dawa Unazotumia Kujiridhisha Ikiwa Wamekunyima Makusudi, Okoa itakusaidia Kujua!